Loading...
Saturday, 26 July 2014

MDAU BRYAN BECON ALAMBA NONDO YA BUSINESS MANAGEMENT



Mdau Bryan Becon akiwa na mdogo wake Rodney Becon na mama yake Mrs Becon mara baada  ya kuhitimu degree ya Business Management katika chuo cha Aston University kilichopo Birmingham Uingereza.

Uongozi wa Giraffe Ocean View Hotel na Tanga Beach Resort unamtakia kila la kheri.

Unique entertainment blog na wadau wote wa habari tunampa pongezi za dhati kwa hatua aliyoifikia. 
Baba mzazi wa Bryan Dr.Charles Bekon ambae ni mkurugenzi wa Giraffe Ocean View Hotel pia ametuma salamu za upendo kwa mwanae bryan mapema hii leo.

0 comments:

Post a Comment

 
TOP